.

KIONGOZI WA MADHEHEBU YA BOHORA DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN AMKABIDHI MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAM, PAUL MAKONDA BAJAJI 2 KWANIABA YA SAIDI MRISHO (ALIE TOBOLEWA MACHO)

Oct 16, 2016

Said Mrisho akishukuru kwa wote wanao jitokeza kumpigania kwa hali na mali, hasa akianza na kumshukuru Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwa kuwa na maono ya kumchaguwa Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambae anauchungu wa wananchi wake na pia namshukuru Kiongozi wa Mabohora kumsaidia Bajaji 2, sina cha kuwalipa ila Mungu atawalipa, hayo yalisemwa na Mrisho wakati wa hafla ya kukabidhiwa bajaji 2 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, msaada uliotolewa na Kiongozi wa Mabohora  maeneo ya Upanga, Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa Paul  Pakonda (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Kiongozi wa Mabohora, Syedna Dk. Mufaddal Saifuddin (wa tatu kushoto)
wakati wa hafla ya  kumkabidhi Bajaj 2, Said Mrisho amae alietobolewa macho na Mtuhumiwa Salum Njewele (Scopion)

Kiongozi wa Mabohora, Syedna Dk Mufaddal Saifuddin (wa pili kulia) akipeana mikono na Said Mrisho ambaye alipata upofu wa Macho na Mtuhumiwa Salum Njewele (Scopion) wakati wa hafla ya  kumkabidhi Bajaj mbili jijini Da es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Said Mrisho,(kushoto) akikabidhiwa kadi za Bajaj na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Waandishi wa habari
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช