Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea
machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa
zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa

Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwapa
pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt.
Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

Makamu
wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita
wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa
zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
Mama
Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa
Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masabburi katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa kuu
katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa
Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam
Baadhi
ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kichama wakiongozwa na Rais Dkt
John Pombe Magufuli (wa tano kulia) wakiwa katika viwanja vya Karimjee
mapema leo asubuhi kutoa heshima ya mwisho na kuaga mwili wa Marehemu
Dkt Didas Masaburi,aliyefariki wiki iliopita katika hospitali ya Taifa
ya Muhimbili,wakishiriki
Baadhi ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa mpendwa wao Dkt Didas Masaburi
Baadhi
ya viongozi mbalimbali wa chama na serikali pamoja na wananchi
mbalimbali waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu
Dkt Masaburi,mapema leo viwanja vya Karimjee,jijini Dar Es Salaam.
Sanduku
lililobea mwili wa Marehemu Dkt Masaburi likiwasili katika viwanja vya
Karimjee,jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269