
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada ya kumuombea
marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es salaam Oktoba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269