Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM, leo.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyika mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungmza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO- theNkoromo Blog
Your Ad Spot
Nov 25, 2016
Home
Unlabelled
KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU, MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LEO
KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU, MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269