.

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SWEDEN JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Nov 23, 2016

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha, Balozi wa Sweden hapa nchini Katrina Rangnitt, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisin kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo   
 Katibu wa NEC, Siasa na ushirikiano wa Kimataifa, Dk Pindi Chana akimsalimia Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, kabla ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuonyesha mlango wa kutokea Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, baada ya mazungumzo, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtoa, mgeni wake, Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, baada ya mazungmzo yao, ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Nyuma ya Balozi ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa-SUKI, Dk. Pindi Chana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª