Breaking News

Your Ad Spot

Nov 22, 2016

MADAKTARI BINGWA WA MOYO WA JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA WENZAO KUTOKA AUSTRALIA WAFANYA OPERESHENI BILA UPASUAJI (CATHERIZATION)

 Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari wenzao  kutoka Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya Nchini Australia wakitoa huduma ya  matibabu ya moyo bila ya kupasua kifua (Catheterization) kwa mgonjwa, kwenye taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA ANNA NKINDA-JKCI)

Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari wenzao  kutoka Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya Nchini Australia wakitoa huduma ya  matibabu ya moyo bila ya kupasua kifua (Catheterization) kwa mgonjwa. Kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau, akifuatiwa na Dkt. Daniel Maclennan na kulia ni Dkt. Peter Kisenge.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages