Breaking News

Your Ad Spot

Nov 22, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa  akiteta  na  Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda  wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba  22, 2016. Mzee Pinda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Mkoa wa Dodoma kumjulia hali baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Xavery Kayanza Pinda

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo kati yake na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako alikwenda kumjulia hali baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Xavery Kayanza Pinda . Kulia ni Paroko wa Kanisa Kuu Katoliki la Dodoma , Padri Wisi Onesmo na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages