.

MADAKTATI WA KINYWA NA MENO WATUA MOROGORO

Nov 23, 2016

 Bango lililopo katika chumba cha Mkutano  31 wa Uzinduzi wa Mkutano wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno utakao fanyika  23 na 25 Vovemba, 2016 , ambapo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dr, Steven Kebwe  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi
 Ukumbi wa Magadu Officers Club uliopo Mjini Morogoro ndio utakao tumika kwa Mkutano huo wa 31 wa Chama Cha Madaktari hao wa Kinywa na Meno
Baadhi ya  Madaktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa katika chumba cha Mkutano ambacho  kitakacho fanyiwa Mkutano huo wakiongozwa na mwenyeji wao Baraka Nzobo (kulia) ambae ni Daktari wa Kinywa na Meno Hospitali ya Rufaa, Mkoa wa Morogoro
 Baadhi ya Madaktari toka Hospitali ya Taifa Muhimbili na wenyeji wao kutoka Hospitali ya Rufaa, Morogoro  wakiweka mambo sawa mara walipo wasili Mkoani humo wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Dk, Lorna Carneiro (wa nne kulia)
Rais Mstaafu wa Kinywa na Meno na Mkuu wa Idara Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk, Rachel Mhavile (kushoto) akijadiliana jambo na wafanyakazi wa Hosptali ya Taifa Muhimbili baada ya kuwasili Mkoani Morogoro katika Mkutano wa 31   wa Chama Cha Madaktari wa kinywa na Meno utao tarajiwa kuanza 23 na kufikia kilele 25 Novemba. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª