Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk, Stephen Kebwe (kushoto) akizungumza jambo
wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Kisayansi wa Madaktari wa Kinywa
na Meno uliofanyika maeneo ya JWTZ Magadu Officers Mess, Mkoani
Morogoro. kuanzia kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Cha
Madaktari wa Kinywa na Meno, Profesa, Bakari Lembariti, Rais Mwandamizi
wa Chama hicho Dk, Ambege Mwakatobe na Rais wa Chama hicho cha Madaktari wa Kinywa, Dk, Lorna Carneiro
Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk,
Lorna Carneiro (wa katikati) akisoma hutuba ya kumkaribisha mgeni Rasmi
wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Kisayansi wa Madaktari wa Kinywa
na Meno uliofanyika maeneo ya JWTZ Magadu Officers Mess, Mkoani
Morogoro,
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk, Stephen Kebwe na kulia ni Rais Mwandamizi wa Chama hicho Dk, Ambege Mwakatobe
Baadhi ya Madaktari hao wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa Mkutano huo
Baadhi ya Madaktari wakiwa katika chumba cha Mkutano
Daadhi ya Madaktari wakiwa katika hali ya usikivu
Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk,
Lorna Carneiro akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk,
Stephen Kebwe (kushoto) wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Kisayansi
wa Madaktari wa Kinywa na Meno, baada ya kufungua Mkutano huo wa
Madaktari wa Kinywa na Meno uliofanyika katika Ukumbi wa JWTZ Magadu
Officers Mess, Mkoani Morogoro
Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk,
Lorna Carneiro (wa pili kushoto) na Rais Mwandamizi wa Chama hicho Dk,
Ambege Mwakatobe (kushoto) wakiteta jambo
Profesa, Emir Kikwilu akizungumza jambo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akizungumza jambo
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Profesa Bakari Lembariti akizungumza jambo
Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk,
Lorna Carneiro (wa pili kulia) akimkabidhi Begi Mkuu wa Mkoa wa
Morogoro, Dk, Stephen Kebwe lenye vipeperushi mbalimbali na kulia ni Rais Mwandamizi wa Chama hicho Dk, Ambege Mwakatobe
Rais Mwandamizi wa Chama hicho Dk, Ambege Mwakatobe (kulia) akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk, Stephen Kebwe baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Kisayansi wa Madaktari wa Kinywa na Meno
uliofanyika maeneo ya JWTZ Magadu Officers Mess, Mkoani humo (katikati) ni Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk, Lorna Carneiro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk, Stephen Kebwe katika Picha ya pamoja na Madaktari hao
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Profesa Bakari Lembariti akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk, Stephen Kebwe baada ya Uzinduzi huo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk, Stephen Kebwe akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo
Rais Mwandamizi wa Chama hicho Dk, Ambege Mwakatobe akizungumza na wandishi wa habari baada ya kumalizika Mkutano huo
Rais wa Chama hicho Dk, Lorna Carneiro akizungumza na wandishi wa
habari baada ya kumalizika Mkutano huo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269