.

MMILIKI WA UJIJIRAHAA BLOG SAFARINI MOROGORO KIKAZI

Nov 22, 2016


Mmiliki wa ujijirahaa blog, Khamisi Mussa Bilali (kushoto) katika picha ya pamoja na Profesa, Bakari Lembariti ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji  wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania (TDA), tukijiandaa kwenda Mkoani Morogoro kwa niaba ya ufunguzi  wa Chama Cha Madaktari wa Meno Tanzania unao tarajiwa kufunguliwa kesho 23 Novemba na Mkuu wa Mkoa huo, Dokta, Steven Kebwe na kilele cha maadhimisho hayo ni 25, Novemba, 2016. Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno kinapenda kuwaomba Wananchi wa mkoa huo na walio pembezoni mwa mkoa huo  kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo eneo la  Magadu lililopo Jeshi mkoani humo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช