Waziri
wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia)
akiongea na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wakala wa Ufundi na
Umeme (TEMESA) alipotembelea wakala huo mapema jana. KushOto ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa
(kulia) akisikiliza maelezo ya dereva wa serikali aliepeleka gari lake
katika karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko
Dar es Salaam kuhusu ubora wa huduma pamoja zinazotolewa alipotembelea
na kukagua karakana hiyo jana.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiongea na Mafundi wa karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es
Salaam alipotembelea na kukagua karakana hiyo jana.
Salaam alipotembelea na kukagua karakana hiyo jana.
Waziri
wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa(kushoto)
akiangalia vifaa vilivyopo katika stoo ya vifaa vya matengenezo ya
magari katika karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot
iliyoko Dar es Salaam kulia ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu
Waziri
wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (aliye
simama) akiongea na baadhi ya watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme
(TEMESA) katika ukumbi wa karakana ya MT. Depot alipotembelea wakala huyo mapema jana. (PICHA ZOTO NA THERESIA MWAMI, TAMESA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269