Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika
(wa tatu kushoto), akizungumza na wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha
Fungafunga mkoani Morogoro wakati alipofika kituoni hapo kutoa msaada
wa vitu mbaimbali vyakula, vifaa vya usafi, nguo pamoja na sabuni za
kufulia.
Afisa
Uhusiano wa mamlaka hiyo, Bw. Ally Masaninga, wakigawa mifuko yenye
vyakula kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Fungafunga Mkoani
Morogoro.
Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde
(kushoto) akimkabidhi fulana Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee
cha Fungafunga, Bi. Yolanda Komba wakati SSRA ilipotembelea kituo hicho
hivi karibu.
Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah
KibondeMsika(kushoto) akimkabidhi fulana Afisa Msaidizi Mfawidhi wa
Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga Bw Rahid Omary wakati wa ziara ya
SSRA katika kituo hicho.
Baadhi ya
wazee wanaolelewa na kituo cha wazee cha Fungafunga, wakiwa
wamekusanyika kwenye viwanja vya kituo hicho, kusubiri kugawiwa vyakula
na vitu mbalimbali vilivyotolewa msaada na Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), hivi karibuni.
Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah KibondeMsika
(katikati), akionyesha baadhi ya vitu vilivyotolewa na SSRA kwa wazee
wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro.
Afisa
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Bw. Ally Masaninga, akimkabidhi sabuni kwa mmoja ya wazee
wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro.
Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika
(wa nne kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wazee wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro, mara baada ya
kuwakabidhi msaada wa vyakula, vifaa vya usafi na sabuni za kufulia.
Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti
wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika,
akizungumza na wazee wa kituo cha Fungafunga, mara baada ya kukabidhi
msaada wa chakula na vifaa vya usafi katika kituo hicho Mkoani Morogoro
hivi karibuni. (P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269