.

KIKAO CHA KAMATI KUU CCM KUFANYIKA DESEMBA 11-12 JIJINI DAR ES SALAAM

Dec 5, 2016

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC)  Desemba 11 - 12/12/2016 na kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Desema 13/12/2016.

Taarifa iliyotolewa na Sememani Mwenda kwa niaba ya Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendela, imesema, vikao vyote hivyo vitafanyika jijini Dar es salaam, na wajumbe  wote wa vikao hivyo wameombwa kuhudhuria.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª