.

RAIS DK. MAGUFULI AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA TAIFA LA SUDAN KUSINI, IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

Dec 8, 2016

 . Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akisalimiana na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akizungumza na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo hayo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Picha na Ikulu

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª