.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWA ZIARANI MKOANI ARUSHA

Dec 6, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiondoka kwenye uwanja wa Mazingira Bora baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye mji mdogo wa Karatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 5, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakijiji wa  Qangded wilayani  Karatu Desemba 5, 2016. Wananchi hao walizuia msafara wake wakitaka awasikilize.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa maji wa kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Mradi huo umejengwa na Shirika  la World Vison. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, risho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya maji Mwalimu Frida Shayo baada ya kuzindua mradi wa maji  katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mradi huo umejengwa na Shirika la Worl Vision

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช