Breaking News

Your Ad Spot

Mar 10, 2017

DK.SHEIN AREJEA NCHINI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana   Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini jana kutokea Indonesia katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.]


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana  na Wazee wa Chama cha Mapinduzi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini jana kutokea Indonesia katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati aliporejea nchini kutokea Nchini Indinesia na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Ujumbe aliofuatananao waliposhiriki  katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages