.

MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA KUFANYIKA MACHI 12, 2017 MJINI DODOMA

Mar 2, 2017

Na Bashir Nkoromo
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kufanya Mkutano wake Mkuu Maalum wa Taifa, Machi 12, 2017 mjini Dodoma.

Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, imesema Mkutano huo unafanyika kufuatia mageuzi makubwa yanayofanyika nadani ya Chama ambayo yanahitaji kufanyika kwa marekebisho ya Kanuni na Katiba ya CCM.

Ifuatayo ni Taarifa rasmi, tafadhali isome upate taarifa kwa kina kuhusu mkutano mkuu huo na mengine yatakayojiri 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช