Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud amefanya operesheni ya
kushtukiza alfajiri ya leo machi 14 katika yaliyodaiwa kuwa ni
madanguro ya ukahaba yaliyopo kwenye bar ya New Happy michenzani na kwa
Raju.Amesema operesheni hizo ziatakua endelevu ili
kukomesha vitendo hivyo kutoendelea huko Zanzibar na ambapo ita
thibitika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao ili kutoa
fundisho kwa wengine.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa katika operesheni hiyo kwa Raju.Hii ndio hali alio kutana nayo Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa pamoja na maafisa wajeshi la polisi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269