Breaking News

Your Ad Spot

Mar 9, 2017

RAIS DK SHEIN AREJEA NYUMBANI KUTOKA INDONESIA, LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  kuagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia   katika uwanja wa Ndege wa Soekarno Hatta Mjini Jakarta  Nchini Indonesia  baada ya kumalizika kwa  Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini humo akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) wakizungumza na  kuagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia   katika uwanja wa Ndege wa Soekarno Hatta Mjini Jakarta  Nchini Indonesia  baada ya kumalizika kwa  Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini humo Dk.Shein alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia   katika uwanja wa Ndege wa Soekarno Hatta Mjini Jakarta  Nchini Indonesia  baada ya kumalizika kwa  Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini humo Dk.Shein alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli, [Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages