.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA MOURITIUS KUMWAKILISHA JPM KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRIKA

Mar 18, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwenda Port Louis, Mauritius kumwakilisha Rais John Magufuli katika Uzinduzi wa  Jukwaa la Uchumi la Afrika (The Inaugural  Session of The African Economic Platform) , Machi 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช