Naibu
Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo (katikati), akihutubia katika
Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma
leo, katika eneo la Nyerere square Mkoani hapo, kulia ni Rais wa Chama
cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, Dkt. Lorna Carneiro, kushoto
ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mzee Nassoro
(PICHA ZOTE NA KHMISI MUSSA)
Baadhi ya wasanii wakitowa burudani katika maadhimisho hayo
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo (kulia) akisindikizwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, Dkt. Lorna Carneiro baada ya Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo, katika eneo la Nyerere square
Naibu
Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo akiagana na Daktari wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili , Dkt. Anold Mtenga (kushoto) mara baada ya Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo, katika eneo la Nyerere square
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo (wa nne) katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali mara baada ya kufunga
Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma
leo, katika eneo la Nyerere square ambapo zaidi ya wananchi 641 wameonwa
Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, Dkt. Lorna Carneiro (kushoto) akimpatia dawa ya Meno Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mzee Nassoro
Daktari
wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Athanas Masele (wa pili kulia)
akimfanyia uchunguzi wa kinywa mwandishi wa habari wa Gazeti la
Tanzania Daima wa kituoni cha mkoani humo, Hamida Ramadhan wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo
Daktari
wa Kinywa na Meno wa Hospitali inayo milikiwa na Kanisa la Anglikana ya
mjini humo, Dkt. Magoma akimfanyia uchunguzi wa kinywa Diwani Kata ya
Madukani Mtaa wa Relini, Saphia Samhonda wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo,
Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhumbili ya Jijini Dar es Salaam, Dkt. Deogratias Kilasara akielekeza jambo wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa Mkoani Dodoma leo,
Wananchi wakiwa katika Maadhimisho hayo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269