.

CCM KUPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA CPC CHA CHINA KESHO

Mar 20, 2017

Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kesho, siku ya Jumanne, Machi 21, 2017, kitapokea  Ujumbe wa Viongozi na maofisa kutoka Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambao utakuwa hapa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

Taarifa iliyotolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, imesema, Ujumbe huo utakuwa na watu 19.
Ifuatayo ni taarifa rasmi ya ugeni huo kama ilivyotolewa na Polepole, leo.


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª