Breaking News

Your Ad Spot

May 31, 2017

BULEMBO AMALIZA ZIARA MKOA WA TABORA KWA ZIARA YA WILAYA YA KALIUA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akizungumza na Walimu wa shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo. Pamoja na mambo mengine, Bulembo alitaka kujua kwa nini walimu kwenye shule hiyo kongwe wanafanyia kazi yao chini ya miti kama alivyowakuta. Wapili kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Asher Msemwa na Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Abeid Busalama ambaye Bulembo alimpa jukumu la kufuatilia tatizo hilo la walimu kufanyika kazi chini ya miti.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akipanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya Msingi Ushokora mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Ushokora mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimpa chemshabongo Jacqueline Philber alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akiwapa maswali ya chemshabongo wanafunzi, alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimpa swali la chemshabongo Mwanafunzi wa darasa la tano, Ibrahimu Kapewa, alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimpa zawadi ya sh elfu kumi Mwanafunzi wa darasa la tano, Ibrahimu Kapewa, baada ya kufanikiwa kujibu vema swali la chemshabongo alilompa, alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka kwenye Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Bisalama na Kulia i Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Aser Msemwa.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya hiyo mkoani Tabora, leo. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo Elias Kaseko na kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Shabani Mrisho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali wakiwa kwenye kikao hicho,


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akihitimisha  mazungumzo yake  na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo, Wilaya hiyo ya Kaliua ndiyo imehitimisha ziara yake katika mkoa wa Tabora. PICHA; BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages