Breaking News

Your Ad Spot

May 11, 2017

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali Mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11   Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Amina Mollel (CCM) akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe,Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe akimuuliza swali Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi ,Vijana , Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijadili jambo na wabunge mbalimbali katiika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 11, 2017.


Mbunge wa Same Magharibi(CCM) Mhe David Mathayo David akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Wabunge wakijadili jambo katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11  Mjini Dodoma Mei 11, 2017.


Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages