.

RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAFUNGA PINGU ZA MAISHA JIJINI DAR ES SALAAM

May 8, 2017

MUS7
Bibi Harusi Susan Barnabas akimvisha pete mumewe Bw. Raymond Mushumbusi wakati walipofunga ndo kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Osterbay jijini Dar es salaa huku Padri Haule akishuhudia tukio hilo kulia ni Bw. Benedict Mwakasindile msimamizi wa maharusi hao.
MUS8
Maharusi wakisaini vyeti vya ndao mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo. KWA PICHA ZAIDI HARUSI HIYO ILIYOFANA/>BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช