.

SIKU TISINI ZA TREVO KUBADILI MAISHA

May 20, 2017

 Ndugu wadau mnakaribishwa kufika katika hafla fupi ya kusherehekea na Trevo, ni kesho mei 20 saa 8 alasisi, katika Ofisi zao zilizopo Moroko, ambapo wataanza na bonge la Presentation na shuhuda za kukufua mtu aliyekwisha kata tamaa ya maisha.

Itafatia kuwapongeza waliofanya vizuri na kupanda vyeo , kuwasheherekea watoto  walio zaliwa mwezi wa Mei (Mei Babies) na wote waliojiunga na familia ya Trevo mwezi wa April. 

kutakuwa na ukataji wa keki kwa pamoja nakuionja ladha tamu ya Trevo kwa kila mtu atakunywa  trevon bila kumsahau DJ Penye on the one and two pamoja na wanahabari mnakaribishwa  na yote tisa, kumi na kubwa kuliko yote ni kwambaaa,  Mark Stevens, Rais wa Trevo Ulimwenguni atakuwa Live yaani Mubasharaaaz kabisa mwishoni mwa shughuli hiyo na pamoja na pongezi pia anajambo muhimu anahitaji kusema na Watanzania kwa ujumla

Hii sio ya kukosa wala sio ya kumkosesha mtu, mwambiye na jirani yako. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª