Breaking News

Your Ad Spot

Oct 25, 2017

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA JUMUIYA YA VIJANA WA KIISLAMU DUNIANI

 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kulia akimkabidhi cheti Dk,Ahmed Yasin Abukrecha ambae ni miongoni mwa madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislam Duniani(WAMY)waliofanya Matibabu kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja
 Kiongozi wa  Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) Dk,Sultan Baghdadi akizungumza machache kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja
Mkurugenzi Idara ya Huduma za Hospitali Wizara ya Afya Zanzibar Dk, Mohammed Dahoma akitoa neno la shukurani kwa Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages