Breaking News

Your Ad Spot

Nov 9, 2017

DK.SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA UNFPA NCHINI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (kushoto) wengine (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu pia kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (haupo pichani )
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto) Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages