Breaking News

Your Ad Spot

Dec 31, 2017

RAIS DK. MAGUFULI ASALI IBADA YA FAMILIA TAKATIFU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Dk. John Magufuli akishukuru baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya  Familia Takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na waumini wengine wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya jumapili ya  Familia Takatifu katika Kanisa hilo la jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na waumini wengine wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya jumapili ya  Familia Takatifu katika Kanisa hilo la jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akiagana na waumini wa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, baada ya Ibada ya Jumapili ya  Familia Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam. 
Rais Dk. John Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta baada ya Ibada ya Jumapili ya  Familia Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages