Rais Dk. John Magufulu akiwa ameshikana mikono na Mwanamuziki nguli Nguza Vicking "Babu Seya" (wapili kushoto) na watoto wake Johnson Nguza "Papii Kocha", (kushoto) Francis Nguza na Michael Nguza (kulia) walipofika Ikulu Jijini Dar es Salam. Babu Seya na wanaye waliachiwa huru kwa msahama wa Rais Dk Magufuli wakati wa Sherehe za Uhuru, Desemba 9, 2017, baada ya kuwa gerezani kwa kifungo cha maisha miaka 13 iliyopita
Mwanamuziki Nguza Vicking "Babu Seya" (kushoto) na watoto wake walipokuwa wakiingia Ikulu leo.
SOMA TAARIFA YA IKULU
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269