Breaking News

Your Ad Spot

Jan 4, 2018

RAIS MSTAAFU DK. JAKAYA KIKWETE AFIKA KUFARIJI WAFIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU ATHUMAN KHAMIS ALIYEFARIKI LEO ALIFAJIRI

1
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dk. Ibrahim Msengi Ndugu wa Marehemu Athman Khamis nyumbani kwake Sinza kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba, Marehemu amefariki usiku wa kuamkia leo kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua ghafla na kulazwa hospitalini hapo kwa matibabu , Marehemu Athman Khamis alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN atazikwa kesho kwenye makaburi ya Kisutu .
2
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dk. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
3
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Tuma Abdallah Naibu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
4
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
5
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
6
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na na Dk. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN na ndugu wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
7
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mhuhidin Izssa Michuzi Mpiga Picha wa Rais nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
8
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ndugu na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
9
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiafamilia ndugu na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages