.

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Feb 2, 2018

 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Uvuvi na mIfugo Mhe.Abdallah Ulega wakati wakiingia Bungeni tayari kwa kuanza kwa kikao cha nne cha Mkutano wa kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mkoani Dodoma
 Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Iringa Mhe.Rose Tweve akiuliza swali wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Stella Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma
 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel na Viongozi waandamizi wa Wizara hiyo wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Mjini Dodoma

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª