Breaking News

Your Ad Spot

Mar 7, 2018

MWENYEKITI WA MTAA WA BUGURUNI MIVINJENI NDUGU BARUA AZINDUA KWA KISHINDO TIMU ZA MICHEZO MBALIMBALI ZA WANAWAKE KATIKA MTAA HUO

 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikabidhi jezi kwa viongozi wa timu za netiboli wakati wa uzinduzi wa timu za michezo mbalimbali kwa wanawake wa Mtaa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akifuatana na baadhi ya vionozi wakati akienda meza kuu kuwa meni rasmi katika wa uzinduzi wa timu za michezo mbalimbali kwa wanawake wa Mtaa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akiwasalimia wananchi wakati akiwasili meza kuu kuzindua timu za michezo mbalimbali kwa wanawake wa Mtaa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
 Katibu wa Siasa na Uenezi wa Mtaa wa Mivinjeni akitoa maelezo ya shuhuli
 Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la Mivinjeni Ramla Abas akizunumza kuhusu maandalizi ya uzinduzi huo
 Mwajuma Hassani akisoma risala kwenye uzinduzi huo
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akipokea risala
 Baadhi ya timu
 Baadhi ya timu
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikagua timu ya michezo mbalimbali
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikagua timu ya michezo mbalimbali 
 Vijana wanawake wakionyesha uhodari wao katika mazoezi
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikagua timu ya michezo mbalimbali
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikagua timu ya michezo mbalimbali
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akirejea meza kuu baada ya kukagua timu ya michezo mbalimbali
 Kijana akiserebuka wakati wa hafla hiyo
 Kinamama wakishindana kukamata kuku wakati wa uzinduzi huo
 Kinamama wakifurahia baada ya mmoja katika kundui lao kufanikiwa kumkamata kuku
 Kinamama wakifurahia baada ya mmoja katika kundui lao kufanikiwa kumkamata kuku
Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akihutubia
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikabidhi risala kwa Msaidizi wa Mbunge Bona Kalua ambaye hakuweza kufika kwenye uzinduzi huo
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua akihamasisha kina mama wakati akikabidhi jezi
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akifurahia jezi yenye jina lake 
 Akiendelea kikabidhi jezi na mipira
 Baadhi ya vionozi wa meza kuu nao wakiawa jezi
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akitoa maelezo kabla ya kukabidhi mpira kwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Mivinjeni Nduu Ramla
 Kisha akamkabidhi
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buuruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikabidhi mpra kwa Katibu wa CCM Tawi la Mijinjeni
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo mbalimbali
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo mbalimbali
 Baadhi ya wanamichezo wakiondoka Uwanjani
Baadhi wakiwa bado wapo Uwanjani baada ya shuhuli kukamilika bila shaka walitamani iendelee. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages