.

MZEE MWINYI, KIKWETE NA KINANA WAUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE MTOPA, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Apr 10, 2018

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza sala la maiti, kumswalia Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa, leo Katika Msikiti uliopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Mzee Mtopa alifariki dunia usiku wa akuamkia jana. Wanne kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mastaafu, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช