.

RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA TAASISI YA JAKAYA MRISHO KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Apr 11, 2018

 Rais Dk. John Magufuli akijadiliana  jambo na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Rais kuizindua taasisi hiyo leo
 Rais  Dk. John  Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi kabla ya kuzindua rasmi Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF) Ikulu jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kabla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Dk. John Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete baada ya kuizindua rasmi Taasisi hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª