.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAAC AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA

Apr 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa  na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia maelfu ya waumini na wananchi  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia maelfu ya waumini na wananchi  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Maandamano ya Maaskofu tayari kwa  Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Balozi wa Baba Mtakatifu nchini  Askofu Mkuu  Marek  Solezyuski  akisoma waraka toka Vatican wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Arusha Josephat Louis  Lebulu akimsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Balozi wa Baba Mtakatifu nchini  Askofu Mkuu  Marek  Solezyuski akishuhudia  Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Arusha Josephat Louis  Lebulu akimsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Muadhama  Isaac Amani  akiwa ameketi  katikati ya Maaskofu wakuu  baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Muadhama  Isaac Amani  akiwa amesimama  katikati ya Maaskofu wakuu  baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Mama Janeth Magufuli wkimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana  Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Arusha Josephat Louis  Lebulu 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na maaskofu  baada ya kusalimiana na  Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri baada ya kusalimiana na  Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu  wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Mama Tunu Pinda akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Spika Mstaafu Mama Anne Makinda akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Mkurugenzi Mkuu wa  Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Kipilimba akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Zimamoto na Uokoaji  Thobias Andengenye akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt Anna Makakala akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna  Mghwira akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Wabunge wa  Mkoa wa Arusha wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akiongea  wakati wa  Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Sehemu ya mapadri katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuhutubia waumini na wananchi katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia  waumini na wananchi katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi zawadi ya kamba kufungia ng'ombe wawili aliompa  Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi zawadi ya rozari  Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi zawadi ya Biblia Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam   baada ya Mhashamu Isaac Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Sehemu ya Maaskofu na mapadri kwenye sherehe ya kusimikwa Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Mapadri wakifurahia jambo kwenye sherehe ya kusimikwa Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na mapadri  alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Maaskofu Wakuu alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Maaskofu alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Maaskofu  na mapadri alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na mapadri  alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na mapadri  alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na waumini na wageni waalikwa alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipungia waumini alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na watoto  alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya  Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Balozi wa Baba Mtakatifu nchini  Askofu Mkuu  Marek  Solezyuski  akiongea  wakati wa kuhitimisha  Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Arusha Josephat Louis  Lebulu akiongea na waumini na wageni waalikwa wakati wa  kuhitimisha Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Askofu Mkuu mpya Jimbo Kuu  Katoliki  la Arusha Mhashamu Isaac  akiongea na waumini na wageni waalikwa kwa mara ya kwanza baada ya kusimikwa  katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo  katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Mama Tunu Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghirwa  na Mkuu wa Mkoa wa ARusha Mhe. Mrisho Gambo  baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama   baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  
  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiaga baada ya kupata picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  
   Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mhe. Godbless Lema  baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Calist Laxaro baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda  baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini na wananchi  baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.  Picha zote na IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª