DALADALA lililogonga kichwa cha treni ya TAZARA leo, Tandika Yombo jijini Dar na kusababisha kifo cha mtu mmoja anahofiwa kuwa ndiye dereva na kuacha majeruhi 26, ambao 21 kati yao wamelazwa hospitali ya Temeke na watano wamekimbizwa Muhimbili kwani majereha yao ni mkakubwa zaidi
MMOJA wa majeruhi akiuguzwa na nduguye hospitali ya Temeke leo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269