MSHAMBULIAJI wa Yanga , Shamte Ali (kushoto), akipambana na mlinzi wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi, timu hizo zilipomenyana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, leo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269