
MRATIBU wa mafunzo ya uzalishaji katika Kiwanda cha Sigara Tanzania (TCC), Omary Ally akitolewa damu na mtaalam kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Kitengo cha Mpango wa Taifa wa damu salaama, Kanda ya Mashariki, Linus Kupaya, wafanyakazi wa TCC walipokuwa wakijitolea damu kwa hiari jana, mjini Dar es Salaam kwa ajili ya mpango huo.(Picha ya Executive Solutions)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269