BAADHI ya wanamuziki wakizazi kipya ambao ni mabalozi wa Kampeni ya kutokomeza malaria, wakizungumza na waandishi wa habari,kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam, jana kuhusu tamasha la wanamuziki hao litakalofanyika Jumamosi wiki hii, kwenye Viwanja vya Leaders' Club, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya vita hivyo.Kutoka kushoto ni Joseph Haule 'Profesa Jay', Mwasiti Almasi na Laurence Malima (Maelow).
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269