Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2010

ELISTON ANGAI KUIBUKA UPYA NA BENDI MPYA YA MASHUJAA KESHO DAR

BENDI ya muziki wa dansi ya Mashujaa, chini ya mmoja wa wapiga solo maarufu nchni, Elyston Angai, kesho itafanya onyesho lake la kwanza katika ukumbi wake wa Mashujaa Pub jijini Dar es Salaam. Pichani, baadhi ya wanenguaji wa bendi hiyo wakiwa katika mazoezi ya mwisho jana kwenye kambi iliyokuwa imewekwa na bendi hiyo, Kigamboni nje ya jiji.
 
ELYSTON Angai akiwa na kundi zima la bendi ya mashujaa katika kambi iliyowekwa na bendi hiyo, Kigamboni nje ya jiji.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages