VIJANA wakiwa katika chachandu la kutafuta riziki yao ya siku, kwa kubeba magazeti katika mkokoteni, kwa ajili ya kwenda kuyagawa kwa mawakala, kama walivyonaswa na kamera ya mdau wa Chachandu-Daily, jirani na ofisi za Posta, mjini Mbeya.
LICHA ya baadhi ya maeneo nchini kuwa na uhaba wa chakula, hali ni tofauti wilayani Rungwe, mkoa wa Mbeya ambapo ndizi zimekuwa ni nyingi sokoni lakini wateja hakuna kama ilivyoshuhudiwa na mdau wa Chachandu -daily mikungu kibaoooooo ikiwa haina wateja katika soko lililopo Kiwira, wilayani humo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269