RAIS Jakaya Kikwete, akihutubia wakati wa dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu mjini Ankara, Uturuki jana usiku. Kushoto ni mke wa Rais wa Uturuki, Hyrunisa Gul, wa tatu kushoto ni Rais Abdullah Gul wa nchi hiyo na kulia ni Mama Salma Kikwete.
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko DK.Mary Nagu na Waziri wa Nchi wa Uturuki, Zafer Caglayan, wakitia saini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu mjini Ankara, nchini humo, jana. (Piocha zote na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269