KOCHA Mkuu wa timu ya Lumpopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC, Eric Kapenda akizungumza na waandishi wa habari, timu hiyo ilipowasili leo jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kwa ajili ya mpambano wake na Yanga, utakaofanyika keshokutwa Uwanja wa Taifa, jijini.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269