NDEREMO na vifijo vilitawala, wakati wanafunzi 159 walipofanyiwa sherehe katika mahafali ya pili ya kidato cha sita, shule ya sekondari ya Alpha, Mikocheni, Dar es Salaam. Pichani, Mmoja wa wahitimu hao, Mohamed Njovu akipongezwa na mama yake Salma Njovu wakati wa sherehe hiyo. Kushoto ni Baba yake, Abdulrahmid Njovu.
wahitimu
wahitimu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269