WATANGAZAJI wa UHURU FM Samirah na Kigwa One wakiwa katika majoho wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo Cha Uandishi wa Habari cha Times cha pale Sharifu-Shamba, Ilala, Dar es Salaam cha (TSJ), leo, Jumla ya vijana 150 wamepata nondozzzi zao.
Samirah akiwa katika pozi la furaha wakati akisubiri kukabidhiwa rasmi cheti chake cha Unondozzzzi hapo TSJ leo leo.
Mgeni rasmi katika mahjafali ya tisa ya TSJ mbunge wa Ilala, Azan Zungu akimkabidhi cheti Sammy.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269