MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Nape Mnauye akimvisha joho, Kada wa CCM Eliapenda Chuwa kuwa Naibu Kamanda wa UVCCM tawi la Uhuru Publications Ltd (UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, katika hafla iliyofanyika makao makuu ya UPL mjini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Elisante Muro ambaye alitawazwa kwanza kuwa Kamanda wa UVCCM tawi hilo. Kuilia ni Mwenyekiti wa UVCCM UPL Joseph Bura na Katibu wake Sophia Ashery.
Picha ya pamoja baina ya mgeni rasmi, viongozi wa CCM tawi la UPL na UVCCM tawi hilo na viongozi waliopata ukamanda.
wajumbe wakifurahi tukio hilo
Wengine wakitafakari tukio hilo kila mmoja kivyake!
Wengine waki-chati kipembeni pembeni wakati mambo yakiendelea
Nape Mnauye akitoa nasaha baada ya kuwasimika makamanda hao. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM tawi la UPL Lucas Kisasa na kulia ni Bura na Sophia wakifuatilia nasaha hizo
Makamanda Chuwa na Muro
WAGENI wakisaini vitabu katika ofisi ya tawi la CCM UPL
Baadaye ilifuatia sehemu muhimu ya mnuso ambapo watu walijichana msosi na kupata kilaji mpaka baaasi, ENDELEA KATIKA PICHA NYINGINE ZAIDI HAPA DAUNI wahusika hapa siwataji maana wenyewe wanajuana na wewe utawajua tu mdau
Halafu wa2 waliserebuka muziki usipime!
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269