BAADA ya minong'ono iliyokuwa ikipozwa kwa maneno ya hapoa na pale, hayimaye Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kumng'oa madarakani Katibu Mkuu wake, Hasna Mnwilima kwa kileichodaaiwa ni mdhaifu katika utendaji kazi.
Taarifa ya UWT iliyopatikana leo imeeleza kwamba Mwenyekiti wa CCM, Rais jakaya Kikwete hahusiki na kung'olewa uongozi kwa Mwilima, na wanaoeneza uvumi huo wanakwenda kinyume na ukweli halisi.
Kung'plewea kwa Hasna kulitangazwa rasmi leo na Makamu wa UWT (Zanzibar) Asaha Bakari Makame na kusema nafasi inakaimiwa na Naibu Katibu Mkuu (Bara) Amina Makilagi.
Alsema Hasna amevuliwa uongozi katika kikao cha Baraza Kuu la UWT kilichofanyika Novemba 17, 2010 mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269