KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zain Tanzania leo imemkabidhi gari jipya aina ya Toyota Hilux (pichani)
Willfred Maleko (28) Mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, ambaye yupo kwenye kitengo cha Utafiti mifumo wa Taifa Bima ya Afya, Willfred amezawadiwa gari hilo baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya Zain ya 'Ongea Uzawadiwe'.Willfred Maleko (28) akionyesha funguo na nyaraka za gari alilozawadiwa baada ya kukabidhiwa na maofisa wa Zain leo mbele ya waandishi wa habari kwenye makao makuu ya ofisi za Zain, Kijitonyama, Dar es Salaam.
Willfred Maleko akiingia katika gari hilo kulijaribu kama lipo fiti.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269