WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kuhusu bwawa la maji la Mwamapuli wilayani Igunga, Tabora kutoka kwa Mbunge wa Jimbo hilo, Rostam Aziz (wa tatu kulia) wakati alipokagua bwawa hilo linalotumika katika kilimo cha umwagiliaji. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Abeid Mwinyimussa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269